matumizi ya akili mnemba kuchora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania China Yazuia Akili Bandia Kusaidia Wanafunzi Wakati wa Mitihani ya Kitaifa

    Katika taifa la China, kila mwaka mwezi wa sita huwa na hali ya taharuki, msisimko na uzito wa kipekee ni wakati wa Gaokao, mtihani mkubwa wa kitaifa wa kujiunga na vyuo vikuu. Mwaka huu, kuanzia Juni 7 hadi 10, zaidi ya wanafunzi milioni 13 walikuwa wanapambana na karatasi za mtihani...
  2. JamiiForums Tanzania Pamoja na kukua kwa Teknolojia Duniani, hadi sasa AI haiwezi kuuchora mwili wa binadamu kwa usahihi

    Ingawa teknolojia ya Akili Mnemba (AI) imepiga hatua kubwa katika kuchora na kuzalisha picha za binadamu, bado kuna changamoto kadhaa katika kuonesha viungo vya mwili kwa usahihi. Hii inatokana na jinsi AI inavyojifunza kutoka kwa mamilioni ya picha lakini bila kuelewa kikamilifu kanuni za...
  3. JamiiForums Tanzania Dalili za kupotea kwa sanaa ya uchoraji kutokana na matumizi ya IA (Artificial Intelligence)

    Matumizi ya AI yameshika kasi, uwezo wa program hizi kutengeneza picha kutokana na maono au mawazo ya mtumiaji, kumeongeza wimbi kubwa la picha hizo zikitumika katika maeneo tofauti. Wasi wasi wangu ni kwamba itafika wakati hakutokuwa na haja ya kuwa na wachoraji wa picha, kwasababu program...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…