Habari?
Ningependa kuishauri Serikali kuja na Sheria ya ardhi inayoruhusu matumizi ya ardhi kwa ajiri ya makazi na ufugaji.
Kama ilivyo matumizi ya ardhi ya makazi, makazi na biashara. Basi ingependeza kama wangeongeza na Makazi na ufugaji.
Katika makazi na ufugaji viandaliwe viwanja vikubwa...