Waungwana naombeni ufafanuzi wenu juu ya tetesi/hoja kuwa kuchanganya asali pamoja na limao kwa wakati mmoja inaweza kupelekea kifo kwa mtumiaji kwa kigezo kuwa Mchanganyiko huo hugeuka kuwa sumu, Hii habari niliisikia zamani nikiwa Bwana Mdogo na mpaka leo nimekuwa, sijaweza kuhakikisha hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.