Kwa wale watumiaji wa mtandao wa Vodacom ambao bado hamjasanuka basi nawasanua unaweza kupunguza spidi ya intaneti yako ili kuzuia bado kuisha haraka.
Kwa kawaida usipo-limit matumizi ya spidi basi Vodacom wanakuwezesha kuperuzi kwa spidi ya hadi 100Mbps. Hii ni spidi ya hatari kwa bando lako...