matumizi ya dawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Matumizi ya dawa za kuandaa mwili kabla ya kubeba ujauzito: Nimetolewa ushamba

    Katika harakati za maisha nikakutana na mdada anatokea nchi fulani sitaitaja. Yule mdada alikuwa anakunywa dawa za kuongeza damu, folic acid, vitamin B supplements na nyingine sikuzitambua. Nikamuuliza" wewe ni mjamzito"? Akajibu hapana. Nikashangaa maana najua hizo dawa hutumiwa na wajawazito...
  2. T

    Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi

    Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi Baada ya kusikia hizi stori kwa muda, nikaamua kuingia mitaani kufuatilia kinachoendelea hasa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa (vijijini hasa pembezoni mwa miji na visiwani). Mtaani kuna stori kuwa kuna madhara...
  3. Mimi Bibi Yenu Mpambanaji

    Je, ni namna gani sahihi ya kumeza dawa za vindonge 2x3?

    Wazee wenzangu na wajukuu zangu salaam. Naomba tujuzane namna sahihi ya kumeza dawa maarufu kama kutwa mara tatu. 1. Je, nigawe masaa 24/3=8 ambapo ninywe dawa kila baada ya masaa nane, yaani kama dawa nilianza kumeza saa 12 asubuhi, nije kumeza saa nane mchana, na kisha nije kumeza saa nne...
  4. Ghost MVP

    Matumizi yaliyozidi ya Antibiotics, husababisha kansa!

    Kwa wale ambao wakiumwa Kichwa tu wanameza dawa, akijisikia kuchoka tu kameza dawa hii ni hatari. Tafiti zinaonesha Kutumia Antibiotics nyingi hupelekea kuua Bakteria walinzi wa mwili na kusababisha Fangasi sehemu za Mwili, kama Ulimi, Koo, utumbo, Ini, lakini pia Huchosha Ini na kuweza...
  5. Roving Journalist

    Waziri Masauni awaonya Wanafunzi na Wasomi matumizi ya dawa za kulevya

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewaonya wanafunzi walioko shuleni, vyuoni na taasisi nyingine za elimu kuacha na kutojihusisha na matumizi ya dawa za kulevya, kwani kushiriki katika matumizi ya dawa hizo itasababisha nchi kupoteza nguvu kazi ambayo inategemewa katika...
  6. Hakuna anayejali

    Sababu zinazochangia usugu wa vimelea dhidi ya dawa

    - Msongo wa mawazo Hapa inakuwa hivi unapoenda hospitali mhudumu anakuandikia dawa kimakosa yatokanayo na msongo wa mawazo, mf badala ya kuandika 2*3 anaandika 1*2. Ni vema wahudumu wasahau misongo yao ya mawazo mara tu wanapokanyaga hospitali na kuwe na mtalam saikolojia kuwahudumia watu kama...
  7. Ryder2

    Nawezaje kuacha kutumia dawa za kupunguza mapigo ya moyo

    Habari za jion wana JF, Nimekua nikitumia dawa za kupunguza mapigo ya moyo kwa muda wa miezi 6 sasa ,mwanzoni niliandikiwa dawa aina ya BISOPROLOL nikatumia kwa muda wa mwezi mmoja tu nikaacha then kutokana na side effects mbaya nikabadilishiwa dawa nikapewa NEBIVOLOL ambayo ndio natumia hadi...
Back
Top Bottom