Amani iwe nanyi wanabodi!
Hata tuwe na makusanyo kikodi ya trilioni 100 kwa mwezi kama hatutakuwa na nidhamu katika matumizi ya fedha za wananchi nchi yetu itaendelea kuwa maskini milele!
Ukweli ni kwamba, hata haya makusanyo madogo tunayokusanya kupitia TRA, endapo Viongozi wetu wangeheshimu...
Wananchi tunatoa matrilioni na matrilioni kama kodi lakini hatujaelezwa kodi zetu zinafanya kazi gani. Asilimia 99 kama siyo 100 ya miradi inayotekelezwa katika nchi hii inatekelezwa na fedha za mikopo au misaada.
Miradi kama SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere, Miradi ya Maji, Barabara, Elimu yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.