Wananchi tunatoa matrilioni na matrilioni kama kodi lakini hatujaelezwa kodi zetu zinafanya kazi gani. Asilimia 99 kama siyo 100 ya miradi inayotekelezwa katika nchi hii inatekelezwa na fedha za mikopo au misaada.
Miradi kama SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere, Miradi ya Maji, Barabara, Elimu yaani...