Mara ya kwanza kutumia kilevi aina ya Ulanzi ilikuwa mwaka mwaka 2012 mkoani mbeya nilikuwa mwanafunzi shule X huko jijini mbeya tulitoroka usiku tukaenda na wanangu chimbo flani ivi wana wakaagiza ulanzi tukaanza kupiga mambo, mimi nilikuwa mgeni, ila kulikuwa na kautam flani, ajabu nashangaa...