Hii kampeni yenu mngetaka ifanikiwe mgefanya mnavyojua bei ya gesi ishuke, Kwa mtungi mdogo iwe 15000 kama kipindi cha MUHESHIMIWA, RAIS, DAKTARI JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, yeye aliwezaje?
Matumizi ya kupikia kwaa Gesi na Umeme bado ni vitu LUXURY! bei zipo juu Sana huwez kumshawishi mtu...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi...
Ipo haja kutekeleza kivitendo makatazo ya taasisi mbalimbali nchini Tanzania kutumia nishati ya mkaa na kuni kulisha watu wao
Taasisi kama vile
Vyuo Vikuu
Magereza
Mashule
Viwanda vya chai na tumbaku
Nakadhalika
Hawa wote wapigwe marufuku kutumia mkaa na usimamizi wa NEMC uwe wa kivitendo...
Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagizi waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Suleiman Jafo kuandaa katazo na kupiga marufuku matumizi ya Kuni na Mkaa kwa tasisi zote ambazo zinahudumia watu zaidi ya 100 na kutumia nishati safi ili kuhakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.