Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema litaendelea kujikita katika kubaini na kuzuia uhalifu kabla haujatokea katika jamii pamoja na kupunguza matumizi ya nguvu kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura leo Disemba 2, 2024 wakati akifungua...