matumizi ya pesa za umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Video hizi 2 zinaongea lugha tofauti

    1. Video ya kwanza Rais Samia akihimiza wafanyabiashara watoe kodi kwa moyo kwani kodi haziingii mifukoni mwa Viongozi. Hapa anamaanisha serikali iko vizuri katika kubana matumizi. Rais katika nia yako njema ya kulijenga taifa angalia na haya mambo madogo madogo, yanakula sana pesa za umma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…