Simu ni Kifaa muhimu cha mawasiliano kwa binadamu yeyote lakini haitakiwi kuwa sehemu ya mwili wako kiasi cha kukufanya uwe kama mtumwa kifaa hicho.
Wataalaamu wa Saikolojia wanasema, ukitaka kubaini kama umepata Uraibu (Addiction) ya matumizi ya Simu, anza kuangalia ni kwa muda gani unaweza...