Wakuu salam kwenu,
Tumeshuhudia kwenye Uchaguzi wa 2015 JF ilivyopigwa na kitu kizito kwenye suala la mtandao na hivyo kuzuia wananchi kupata taarifa.
Tulishuhudia hilo pia kwenye uchaguzi wa 2020 jinsi mtandao ulivyochezewa na 'jini' ikawa changamoto kupata taarifa na wale ambao biashara zao...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kwa Mkuu wake wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma, Rolf Kibaja imesema taarifa kwa Umma iliyotolewa juzi October 13,2023 haijakataza matumizi ya VPN kama baadhi ya Watu wanayopotosha kupitia mitandao ya kijamii.
Kibaja ameiambia Ayo TV...
Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini.
Chama cha ACT Wazalendo kupitia Wizara Kivuli ya Habari na Mawasiliano tunapinga vikali taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA ya kukataza matumizi ya Mtandao binafsi maarufu kama VPN (Virtual Private Network)...
Wadau, bila shaka mmeliona tangazo la TCRA kuhusu onyo la matumizi ya Kipenya Mtando Binafsi (VPN), tangazo ambalo ni dhahiri linaonesha Mamlaka zinaogopa Teknolojia kuliko kuwekeza zaidi katika kutambua fursa zilizoko kwenye uwanda huo.
Katika dunia ya sasa Mamlaka zinapaswa kuweka mazingira...
Tanzania Digital Rights Coalition, umoja wa mashirika yanayojitolea kusimamia na kukuza haki za kidijitali, kwa dhati unakemea taarifa ya hivi karibuni iliyotolewa Ijumaa, tarehe 13 Oktoba 2023 na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayokataza matumizi VPNs nchini Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.