Wananzengo vipi?
Leo tunaenda kula bata wapi?
Wanasema kazi na dawa; ukiwa bize sana ni sawa na kutumia mikono yako kusukuma mlima ili uweze kuhama.
Twende kazi!
Kwa haraka haraka niwakumbushe mawili tu
1. Kuna jela - Maamuzi na matumizi sahihi ni muhimu sana
2.Tu enjoy kidogo hasa tukijifariji " why should we die with health liver and lungs ?"
Ni haya tu kwangu