Nashauri serikali ipeleke muswada maalum wa kuwalinda watoto kwa kuwa ni dhahiri muda si mrefu watakuwa waathirika.
Katika Hali ya sasa binadamu wamekuwa kama wanyama pori, bata au kuku, madume yanadunga mimba halafu yanaondoka.
Hii ya kusema single mother ni signal kwamba katika jamii kuna...