Daah! Wakuu sisi tunaoishi na SINGLE MOTHERS tuwe makini sana. Mwenzetu huko Afrika Kusini aliyekuwa akiishi na single mama yamemkuta. Kaamriwa kuendelea kulipia matunzo ya watoto wa single mama. Ni hela mingi laana.
===========================
Court Orders Divorced Man to Pay R40,000 in...
Jamaa amezinguana na mkewe.
Mkewe kakimbilia kufungasha mizigo na vyombo vya ndani. Ameacha amefanya uharibifu kwa kuvunja simu ya msela kwa makusudi. Simu hiyo alinunuliwa na mme wake sasa wakati anaondoka mme alimtaka aiche (lengo mme akague kuona kama kuna ajenda iliyojificha yq yeye...
baba kutoa matumizi ya mtoto
child support
haki ya mtoto
haki yawatoto kupata melezi
kushindwa kuishi pamoja
matunzoyawatoto
sheria ya malezi
single
single mothers
wazazi kutalikiana