matusi mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

    Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limemkamata Deogratius Kisandu ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkolani kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kuandika matusi. Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutumia ukurasa wake wa Facebook kuandika matusi kwa takribani wiki nzima.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…