Kwema wandugu
Kuishi na watu kazi sana, kuishi na ndugu kazi sana
Huyu kijana wa shangazi yangu ni mhuni, mlevi, mvivu, si muwajibikaji na hana, nidhamu.
Namgharamia kwa vingi, kuanzia kumlisha, mavazi, malazi na kadhalika
Kazi nimemtafutia mimi, nilitumia jina langu apate kazi ingawa hakuwa...