Hayo ni maneno ya William Ruto Rais wa Kenya akitishia kujitoa kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Haki za binadamu ya Afrika -Arusha.
Chanzo Cha vitisho hivyo vya Ruto ni sakata la Mahakama hiyo kuamuru na kuzuia kufurushwa Kwa watu wa jamii ya Ogir wanaoishi kwenye msitu wa Mau ambapo Kenya inadai...