maua bandia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kalaga Baho Nongwa

    Nakupa chimbo la maua bandia na chimbo la pazia kwa mchina kariakoo!

    i
  2. Technophilic Pool

    Nataka kufanya biashara ya maua haya ya bandia, una nini cha kunishauri?

    Nimeangalia Maua yana bei sana. Nimeshindwa kujua kwanini? Natamani kuuza maua kwa bei rahis lakini siijui hii biashara? Nahitaji ushauri 1. Biashara ikoje? 2. Kuagiza nje na kununua jumla hapa bongo ipi bora? 3. Wateja ni kina nani hasa? 4. Faida yake
Back
Top Bottom