Binti mmoja ajulikanae kwa jina la Hadija mwenye umri wa miaka 17 amefariki dunia baada ya kuchomwa visu kadhaa na kijana wa mwenye nyumba aliyofikia kufanya kazi.
Sababu za kijana huyo kufanya hivyo inaelezwa kuwa ni kijana huyo kutaka kumbaka binti huyo na ndipo yalipotokea kupishana kati...
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta fedha kiasi cha shilingi 15,000 za kuku aliyoagizwa akauze na rafiki yake wilayani humo...
Mwili wa Mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi.
Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
Uhuni, ubabe, bangi na ujeuri ni vitu vinvyokuwa glorified sana Arusha.
Uhai wa mtu ni very cheap sana huko Arusha.
Kwa sisi tuliosoma miaka hiyo maeneo ya kanda ya kaskazini tunaelewa jinsi vijana wa kutoka Arusha walivyokuwa na desturi ya kujikuta gangstas and thugs.
Hakuna wanachoambulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.