mauaji asimwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Kesi ya mauaji Asimwe: Marufuku kutaja majina ya mashahidi, ndugu zao

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Bukoba imelikubali ombi la Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) la kuzuia kutumika kwa majina na taarifa za mashahidi katika kesi ya mauaji ya moto mwenye albino, Asimwe Novath. Uamuzi huo wa Mahakama unatokana na maombi ya DPP kupitia maombi ya jinai namba 23143 ya...
  2. Watuhumiwa wa mauaji ya Asimwe kizimbani

    Leo July 12, 2024 imeitwa kesi ya Watuhumiwa tisa wa mauaji ya Mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu May 30 mwaka huu 2024 na June 17, 2024 mwili wake ulikutwa kwenye kalavati akiwa ameuawa na kukatwa baadhi ya viungo vyake. Watuhumiwa hao tisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…