Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024.
Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya...
Matukio ya kinyama yametokea dhidi ya wanawake wawili katika Mtaa wa Chinyika jijini Dodoma ambao miili yao imeokotwa huku mmoja ukionekana kujeruhiwa na kitu chanye ncha kali.
Kwa mujibu wa mashuhuda, mwili huo unaoonekana kujeruhiwa na kitu chenye ncha kali, umekutwa ukiwa umefungwa katika...