mauaji kagera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hismastersvoice

    Anayedaiwa kukamatwa na polisi mwili wake wakutwa ukielea ziwani

    Habari hii nimeisikia asubuhi hii kupitia RFA magazeti, mwenye taarifa atujuze ni nani ukizingatia kuna yule mwandishi wa kanda ya ziwa anayedaiwa kuandika sakata la mkuu wa mkoa kukamatwa na polisi akiwa Musoma. ======== Jeshi la polisi mkoani Kagera linaendelea kufanya uchunguzi wa kifo cha...
  2. Analog

    Kagera: Mwanafunzi auawa, mwili watupwa kichakani

    Mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Kilima wilayani Bukokaa, Elius antony(13), anadaiwa kuuawa kwa kukatwa na panga shingoni kisha mwili wake kutupwa kichakani. Kamanda wa polisi mkoa wa Kagera Blasius Chitanda, amesema uchunguzi unaendelea kubain chanzo cha mauaji hayo...
Back
Top Bottom