Polisi nchini Kenya wamemkamata John Kiama Wambua, mwanaume mwenye umri wa miaka 29, aliyekutwa akiwa amebeba mwili wa mke wake aliyekatwa vipande kwenye mkoba wa nyuma. Mke wake, Joy Fridah Munani, mwenye umri wa miaka 19, anashukiwa kuwa mhanga wa tukio hili la kusikitisha.
Kwa mujibu wa...
Wakuu,
Wakati taifa la Kenya likiwa linazizima kuhusu matukio ya utekaji na mauaji, matukio kama hayo yameendelea kushamiri.
Siku ya leo mwili wa mtu mmoja aliyefariki umeonekana ukielea kwenye mto Ruhiru.
Mamlaka za nchini bado hazijatoa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo.
Source...
Kenya kunaweza kuibuka machafuko mengine kutokana na miili ya watu kuokotwa kila sehemu huku sehemu Mukuru ikionesha kuwa na idadi kubwa ya maiti zilizofungwa kwenye viroba kwa wingi vikiwa kwenye bonde ambalo sio mbali na kituo cha polisi.
Maeneo mukuru yapo karibu na bonde ambalo ndio sehemu...
Naibu Rais Gachagua ni vyema akadhibitiwa kabla hajatamka neno lolote Kwa wakati huu. Maana jamaa linamtoka lolote linalomjia kinywani. Kenya Kwa sasa inahitaji utulivu na uponyaji
Mwanaume wa Kaunti ya Vihiga amekiri kumuua Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Kahongeri (43) kutokana na aliyemtuma kufanya mauaji kukataa kumlipa Ksh.20,000 (Tsh. 372,200).
Mtuhumiwa ambaye aliwekwa chini ya ulinzi muda huohuo, alijipeleka Kituo cha Polisi cha Mbale na kukiri kufanya tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.