mauaji kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Akutwa na viungo vya mwili vya mke wake kwenye mkoba

    Polisi nchini Kenya wamemkamata John Kiama Wambua, mwanaume mwenye umri wa miaka 29, aliyekutwa akiwa amebeba mwili wa mke wake aliyekatwa vipande kwenye mkoba wa nyuma. Mke wake, Joy Fridah Munani, mwenye umri wa miaka 19, anashukiwa kuwa mhanga wa tukio hili la kusikitisha. Kwa mujibu wa...
  2. Mwili wa mtu aliyefariki wapatikana ukiwa unaelekea kwenye mto Ruhiru

    Wakuu, Wakati taifa la Kenya likiwa linazizima kuhusu matukio ya utekaji na mauaji, matukio kama hayo yameendelea kushamiri. Siku ya leo mwili wa mtu mmoja aliyefariki umeonekana ukielea kwenye mto Ruhiru. Mamlaka za nchini bado hazijatoa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo. Source...
  3. Kituo cha polisi Mukuru Kenya chashutumiwa kufahamu uwepo wa miili ya watu iliyokutwa nyuma ya bonde

    Kenya kunaweza kuibuka machafuko mengine kutokana na miili ya watu kuokotwa kila sehemu huku sehemu Mukuru ikionesha kuwa na idadi kubwa ya maiti zilizofungwa kwenye viroba kwa wingi vikiwa kwenye bonde ambalo sio mbali na kituo cha polisi. Maeneo mukuru yapo karibu na bonde ambalo ndio sehemu...
  4. A

    Ni busara DP Gachagua kunyamaza

    Naibu Rais Gachagua ni vyema akadhibitiwa kabla hajatamka neno lolote Kwa wakati huu. Maana jamaa linamtoka lolote linalomjia kinywani. Kenya Kwa sasa inahitaji utulivu na uponyaji
  5. Akiri kosa la kuua baada ya aliyemtuma kutomlipa Tsh. 372,200

    Mwanaume wa Kaunti ya Vihiga amekiri kumuua Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Kahongeri (43) kutokana na aliyemtuma kufanya mauaji kukataa kumlipa Ksh.20,000 (Tsh. 372,200). Mtuhumiwa ambaye aliwekwa chini ya ulinzi muda huohuo, alijipeleka Kituo cha Polisi cha Mbale na kukiri kufanya tukio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…