Maofisa 7 wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara wanaotuhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis (25), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara kwa ajili ya kesi yao kutajwa.
Waliofikishwa Mahakamani ni:
1. Mrakibu wa Polisi Gilbert Kalanje -Mkuu wa Upelelezi wa...