Usiku wa kuamkia leo jijini Mwanza, kata ya Buhongwa kumetokea mauaji ya kinyama. Mauaji hayo yamefanywa leo saa kumi usiku.
Watu watatu wa familia moja akiwemo Mtoto wa miezi saba (7) waliuwawa kikatili, kwa kunyongwa, ndani ya nyumba yao na watu wasiojulikana. Kwa habari za awali ni kwamba...