Wakati ule ulisema kuwa unazo taarifa kuwa kuna watu wanakufuatilia. Siku kama ya jana ukashambuliwa kwa risasi.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu
Sasa unadai kuna watu walikuja kwako...
Hawa watekaji walianza kuwateka wanaharakati. Kwa kawaida wanaharakati huwa hawana wafuasi rasmi. Watekaji walifanya hivyo kupima mwamko na nguvu ya wananchi pale inapotokea mmoja wao anafanyiwa uharamia. Wakataka kuona, Watamzania watafanya nini dhidi yao.
Matokeo: Watanzania, kama nyumbu...