Wakuu,
Watu wenye ulemavu kutoka mkoa wa Tabora wameeleza wasiwasi wao kuhusu mauaji yanayowakumba wenzao wenye ulemavu wa ngozi (Albino), wakisema kwamba baadhi ya watu bado wanashikilia imani potofu kuwa viungo vya Albino vinaweza kufanikisha mambo yao, hasa wakati wa chaguzi. Hofu hii...
Katika Mkutano wake na Mchifu leo Rais Samia atoa wito kwa machifu wawaelimishe Wanasiaa kuwa vyeo havipitani kwa kuua watu wala kutumia viongo vyao.
Akiongeza kuwa uonozi unatoka kwa Mungu.
====
Hakuna kabila wala Mkoa hata mmoja ndani ya Tanzania hii unaokubaliana na vitendo vya kuua...
Kuna wimbi la kuwauwa watoto wadogo na kisha kunyofoa viungo vyao, matukio hayo yamefanyika katika Jiji la DSM. Pia kuna tukio lilitokea huko Mkoani Kagera la kuuwawa mtoto mwenye ualbino!
Kuna minong'ono kuwa vitendo hivi vinahusishwa na Uchaguzi mkuu na chaguzi za serikali ya mitaa. kwamba...
Kwa miaka mingi sana Tanzania imekua ikipambana na watu wenye imani potofu juu ya watu wenye ualbino( albinism). Watu wanatakiwa kujua kwamba albino ni sawa na binadamu wengine ikiwa tu yeye amekosa au ana upungufu wa madini ya melanin, Albino ana haki sawa kama mtu mwingine mwenye ngozi ya...
Naam, baada ya mauaji ya mtoto mwenye uremavu wa ngozi nimesikia baadhi ya wakuu wa mikoa akiwemo comrade Chalamila akisema kuwa ataanza kula sahani moja na waganga wa kienyeji.
Ni wazo zuri tena wakuu ama viongozi wanastahili pongezi katika hilo lakini NALIA NGWENA akili nyingi kama...
Hivi wakuu mkoa na wa wilaya za Dar es Salaam huwa wanakuwa na mpango kazi maalumu wa kufanyia kazi kwa mkoa na wilaya husika?
Yaani baada ya kutokea mauaji ya mtoto albino huko Muleba, Kagera Chalamila yeye anaibuka na oparesheni ya waganga wa kienyeji Dar! Sasa Chalamila atawashughulikia...
Sio kawaida Na hasa Kwa tukio gumu la kinyama Na kufedhehesha tena likimuhusisha anayetajwa kuwa ni Padre wa Kanisa Katoliki huko MKOANI Kagera.
TAARIFA Mbao zimekuwa nyingi sana Kanisa linawajibika kuweka Sawa hali halisi ilivo.
PIA SOMA
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko...
Nchi hii tusioamini hayo mambo ya kichawi twaweza tusifike hata watu 100!
Humu JF yenyewe tu sidhani tunafika hata watu 6!
Wengine wote waliobaki ni watu wenye kuamini hayo mambo, ambayo kiuhalisia hayapo.
Uchawi haupo. Ni fiksi tu. Ni uongo ulio mrahisi kuugundua.
Kitendo cha binti mrembo...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema kuwa tayari Jeshi la Polisi limewakamata watu wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novath (2).
Mei 30, 2024 Asimwe anadaiwa alichukuliwa na watu wasiojulikana nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera na juhudi za...
Taarifa za kifo cha huyu mtoto zimeumiza mioyo yetu, mtoto wa miaka miwili kufanyiwa ukatili huu si jambo la kulifumbia macho na ilipaswa tupaze sauti tangu alipokamatwa tarehe 30/05/2024.
Uhai wa Asimwe umedhulumiwa na watu wabaya kwa sababu zao wanazozijua wenyewe lakini kama Taifa...
Hapa JUZI tulisikia kiongozi mmoja aliingia kwenye tuhuma na kashfa za kulawiti mwanafunzi wa CHUO
Lakini UVCCM hawakujitikeza na kulaani jambo Hilo.
Tukasikia tena Mtoto kapotea na ghafla mwili wake umeokotwa ukiwa baadhi ya viungo vya mwili vimenyofolewa Cha ajabu UVCCM hawakujitokeza hata...
Mtoto mwenye Ualbino Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita, mkazi wa Kitongoji cha Mbale Kijiji cha Bulamula kata ya Kamachumu wilaya ya Muleba mkoani Kagera amekutwa amefariki na mwili wake umefungwa kwenye mfuko (Sandarusi) huku ukiwa hauna baadhi ya viungo.
Akizungumzia...
albino kupotea
haki ya kuishi
haki za watoto
imani za kishirikina
kuelekea uchaguzi mkuu
mauajiyaalbinomauajiyaalbino kagera
mila potofu
mtoto asimwe afariki
mtoto asimwe novath
mtoto mwenye ualbino
ukatili kwa albino
ukatili kwa watoto
waganga wa kienyeji
Salaam, Shalom!!
Awamu ya Tatu, Ben Mkapa aliwateketeza wachuna ngozi bila huruma yoyote na huo UOVU ulikoma. Albino waliishi Kwa Amani kipindi Cha miaka iliyopita hivi karibuni, imeanza tena.
Kwa sasa ninishuhudia mpishano usio wa kawaida wa Waganga wapiga ramli kwenye ofisi za wanasiasa...
Mauaji yanayochochewa na ushirikina ni tatizo linaloendelea kutokea Tanzania na linahusisha imani na vitendo vinavyohusiana na uchawi na ushirikina. Katika muktadha huu, watu wanaweza kuuawa au kuteswa kutokana na tuhuma za kuhusika na uchawi au kutumia sehemu za miili ya watu kwa madhumuni ya...
Miongoni mwa taarifa zilizoripotiwa katika gazeti hili jana ni kuendelea kuwapo kwa mashambulizi ya kinyama dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).
Ilielezwa kuwa katika kipindi cha kuanzia 2006 hadi sasa, tayari kuna albino 74 wameuawa huku wengine 11 wakipata ulemavu wa viungo...
Tanzania's Albino Society has accused the government of turning a blind eye to the killing of albinos, after four deaths in the past three months.
An albino spokesman said there was a belief that the condition was the result of a curse put on the family.
Some witch-doctors also say they can...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.