mauaji ya asimwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kesi ya 'mauaji ya Asimwe' yasogezwa mbele Padri akapimwe Akili kwanza

    Kesi ya mauaji ya Mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu May 30,2024 na June 17,2024 mwili wake kukutwa kwenye kalavati akiwa ameuawa na kukatwa baadhi ya viungo vyake, imesogezwa mbele kupisha uchunguzi Mtuhumiwa wa kwanza Padri Elipidius Rwegoshora...
  2. Mashahidi 52 na Vielelezo 37 kutumika kesi ya mauaji ya Asimwe, yaelezwa baba Asimwe aliahidiwa Toyota V8

    Kesi namba 17740 ya mwaka 2024 ya mauaji ya mtoto aliyekuwa na Ualbino Noela Asimwe Novath inayowakabili washitakiwa tisa akiwemo padri Elipidius Rwegoshora na wenzake imetajwa tena leo tarehe 6 Septemba 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya Bukoba mkoani Kagera vyelelezo 37 na maelezo...
  3. Watuhumiwa 9 wa mauaji ya Asimwe wadai hawajui kosa lao

    Washtakiwa tisa wa mauaji ya Mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu May 30,2024 na June 17,2024 na mwili wake kukutwa kwenye kalavati akiwa ameuawa na kukatwa baadhi ya viungo vyake, wamefikishwa Mahakamani tena leo August 23,2024 huku wakidai...
  4. K

    Kifo cha Asimwe kinatuonesha adhabu ya kifo inafaa iendelee kuwepo. Tuitekeleze kwa namna hii...

    Mioyo ya nyama imeumizwa na kusikitishwa mno na kifo cha Binti mwenye ualbino Asimwe aliyeuawa kikatili na viungo vyake kunyofolewa na kila kona tunasikia maoni ya watu wakionesha kuumizwa sana. Kifo cha Asimwe kimetufundisha jambo moja kubwa ,kwamba bado Taifa lina uhitaji mkubwa wa adhabu ya...
  5. Nani wa kuzipiga vita hizi imani potofu za kishirikina?

    Nchi hii tusioamini hayo mambo ya kichawi twaweza tusifike hata watu 100! Humu JF yenyewe tu sidhani tunafika hata watu 6! Wengine wote waliobaki ni watu wenye kuamini hayo mambo, ambayo kiuhalisia hayapo. Uchawi haupo. Ni fiksi tu. Ni uongo ulio mrahisi kuugundua. Kitendo cha binti mrembo...
  6. Kwa dhati kabisa tunalipongeza sana jeshi la polisi ila na wao tutawalaumu pia naamini kabisa mnyororo wa watuhumiwa haujaisha

    Kwa uelewa wangu mdogo huyu "msaidizi wa paroko" hajakurupuka kuanzisha hii misheni lazima Kuna soko ambalo amelilenga na hiki kivuli cha usaidizi wa paroko ni moja ya kukamilisha misheni chafu ambazo naamini nyingi amekwishazitekeleza na hii imembumia kwa kuwa watanzania walilisimamia kidete...
  7. N

    LHRC, THRDC walaani mauaji ya mtoto mwenye ualibino wataka 'mnyororo' wa walioshiriki ubainike na kuwajibishwa

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) nakwa pamoja wamelaani vikali tukio la lililotokea Wilayani Muleba mkoani Kagera la utekwaji na mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ualibino Asimwe Novath. Kufuatia tukio hilo wadau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…