Safi wewe mwanaume wa huko nchini Indonesia kwani hata Mimi GENTAMYCINE huwa Nakerwa mno na maswali ya kikuda na ya kijinga kijinga kama hilo uliloulizwa na ukaamua kabisa kumdedisha mtu (Jirani yako) huyo.
Mtu hunilishi, hunivalishi na wala hujachangia chochote katika maisha yangu na ada zangu...