Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Agostino Senga amesema uchunguzi wao kuhusu kifo cha aliyekuwa Mfamasia wa Kituo cha Afya cha Isansa, Wilayani Mbozi, Mkoani Songwe aliyetambulika kwa jina la Daudi Kwibuja (30) hakijatokana na ajari kama ilivyodhaniwa kutokana na mwili kuokotwa kando ya...