Hello!
Rafiki yangu wa kazi, rafiki wa faida. Mimi na yeye sio marafiki kama nilivyoandika hapo juu ila tuko karibu kuliko hata hao mnaowaita marafiki.
Hatuongei jambo lolote isipokuwa issue ya fedha tu. Urafiki wetu ulikuwa kwenye mambo ya fedha pekee.
Nimeongea naye na kufanya biashara...