mauaji ya kimbari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Namibia: Upinzani wakosoa makubaliano ya Serikali na Ujerumani kuhusu mauaji ya kimbari

    Wanasiasa wa Upinzani Nchini humo wameikosoa kitendo cha Serikali kuingia makubaliano na Ujerumani kuhusu mauaji ya kimbari wakati wa Ukoloni, ambapo Taifa hilo liliomba msamaha na kuahidi Dola za Marekani Bilioni 1.3 Wameishutumu Serikali kwa kuwaweka kando wao pamoja na Jamii zilizoathiriwa...
  2. Ujerumani yaiomba msamaha Namibia kwa mauaji ya kimbari

    Ujerumani imekiri rasmi kufanya mauaji ya kimbari enzi za Ukoloni wa Namibia. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Heiko Maas ameomba radhi kwa Taifa pamoja na walioathiriwa na matukio hayo. Watawala wa Ujerumani waliua maelfu ya watu kutoka Jamii za Herero na Nama mwanzoni mwa Karne ya 20...
  3. Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

    Historia ya Kweli ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda KILIO CHA MIFEREJI YA DAMU IENDAYO ETHIOPIA Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…