Mshukiwa mmoja amekatwa na Mkurugenzi wa Jinai (DCI) kuhusiana na mauaji ya Kinyama ya watu watatu wa familia moja, ambao walipatikana wakiwa wameuawa baada ya kutekwa nyara katika mtaa wa Eastleigh, nchini Kenya.
Polisi wamelipata gari lililotumiwa na wahalifu katika soko la Wakulima...