Tunawaomba sana Viongozi wetu wa dini kwa imani zote wakemee vitendo vya kishirikina na ramli chonganishi vinavyo chagizwa zaidi na Wanasiasa wenye uchu wa kutafuta nafasi za teuzi, wasaka vyeo/madaraka na wasaka utajiri, makundi hayo baadhi yao ndio wanao chochea kwa kiasi kikubwa wimbi la...
Katika Mkutano wake na Mchifu leo Rais Samia atoa wito kwa machifu wawaelimishe Wanasiaa kuwa vyeo havipitani kwa kuua watu wala kutumia viongo vyao.
Akiongeza kuwa uonozi unatoka kwa Mungu.
====
Hakuna kabila wala Mkoa hata mmoja ndani ya Tanzania hii unaokubaliana na vitendo vya kuua...
Mauaji yanayochochewa na ushirikina ni tatizo linaloendelea kutokea Tanzania na linahusisha imani na vitendo vinavyohusiana na uchawi na ushirikina. Katika muktadha huu, watu wanaweza kuuawa au kuteswa kutokana na tuhuma za kuhusika na uchawi au kutumia sehemu za miili ya watu kwa madhumuni ya...