mauaji ya watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Tabora: Mtoto wa miaka 15 akutwa ameuawa na kufukiwa porini

    Mtoto mmoja anayekadiliwa kuwa na umri wa Miaka 15 Ally Amani mkazi wa kijiji cha Igoko ameuawa na kufukiwa porini na watu wasiojulikana kando ya barabara ya Nzega kuelekea Tabora katika kijiji cha Igoko Kata ya Isikizya Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora. Mwili huo umepatikana Alhamisi January 16...
  2. The Watchman

    Morogoro: Mama adaiwa kumuua mwanaye kwa kumkatakata na panga

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Teodora Mkunga (39), mkazi wa Lusange, Kata ya Mtombozi, Wilaya ya Morogoro, kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Simon Gervas (8) kwa kumkata sehemu mbalimbali za mwili wake kwa panga. Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro, Alex Mkama akizungumza ofisini...
  3. EricMan

    Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

    Tukio lilianzia baada ya: Mtoto wa miaka 11 (Maryam) anayesoma darasa la sita Kata ya Sokone One kukutwa ameuawa kwa kukatwa katwa na kutenganishwa mwili wake na kichwa na kisha kuwekwa kwenye beseni na kufichwa uvunguni mwa kitanda katika nyumba ya bwana Ramji Hatibu Mlacha. Baada ya taharuki...
  4. mwanamwana

    Kahama: Binti wa miaka 16 mbaroni kwa wizi wa mtoto wa miezi 9

    Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia binti mwenye umri wa miaka 16, aliyefahamika kwa jina la Maduki Sabuni mkazi wa Imalanguzo Ushirombo mkoani Geita kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa miezi 9 mkazi wa Manzese Manispaa ya Kahama. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP. Janeth Magomi amesema...
Back
Top Bottom