Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Teodora Mkunga (39), mkazi wa Lusange, Kata ya Mtombozi, Wilaya ya Morogoro, kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Simon Gervas (8) kwa kumkata sehemu mbalimbali za mwili wake kwa panga.
Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro, Alex Mkama akizungumza ofisini...