Marufuku imekuwa ikipigwa na madhehebu ya walokole , hasa kwa wanawake ambao wanapo okoka wanakuwa tayari wana watoto lakini hawana ndoa ama kwa kifupi wamezaa kabla ya ndoa.
HOJA ZA WANAOPINGA SEND OFF/K-PARTY:
Wewe binti, kishakula tunda la mti wa kati , amekaa kwa mwanaume miaka 4 yote...