Yani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi.
Yani unaingia tu insta, msambwanda huo, tuuuuu!!. Yani ni vibinti vinajibenua kila kona.
Yani kuna aina fulani hivi ya binti wa aina ya kimalaya kimalaya ndio anakuwa...
𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗞𝗨𝗧𝗨𝗠𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗗𝗛𝗨𝗜 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗔𝗙𝗨 𝗠𝗧𝗔𝗡𝗗𝗔𝗢𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗞𝗔𝗠𝗔𝗧𝗪𝗔
Ongezeko la watumiaji wa intaneti Tanzania imezongezeka kutoka mwaka 2023 kwenda 2024/2025, huku zaidi ya watu Milioni 33.3 wanatumia intaneti ni sawa na asilimia 53.5% ya watu wote waliopo Tanzania.
Ongezeko hilo limepelekea watu...
Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae
Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae
Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
KUSITISHWA KWA MUDA LESENI ZA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI ZILIZOTOLEWA KWA MWANANCHI COMMUNICATIONS LIMITED
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano Tanzania, Sheria Na. 12 ya mwaka 2003, kusimamia huduma za...
Jamani naomba tusaidiane content creators wa kike asilimia kubwa ni kujadili mahusiano na ngono ni wachache sana wanaotoa maudhui tofauti.
Maana kama vijana kuna mambo kibao ya kuongelea ila ukitoka wa kwanza anasema mahusiano mwingine anazungumzia ngono bila hata aibu. Na simaanishi kwamba wa...
Wakuu mko vyedi?
Watengeza maudhui hawa walikaa chini wakafikiria wakaona hii ndio content inafaa na inachekesha kabisa?! Hapana jamani hii siyo sawa.
Kwanza ni hatari kwao na hata kwa magari na watumizi wengine wa barabara. Mtu anatoka huko breki zimefeli anakuja kukuvaa utamlaumu nani, tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.