Wakuu mpo vizuri?
Huyu jamaa aliyejirekodi akioga na kuvunja nazi katikati ya barabara aliona hii ndio njia sahihi ya kuchekesha? Hapana, huu ni ujinga na hatari.
Kwanza, anachafua barabara kwa mabaki ya nazi na maji, akiharibu miundombinu. Pili, amesababisha foleni kwa madereva waliolazimika...
Wakuu mko vyedi?
Watengeza maudhui hawa walikaa chini wakafikiria wakaona hii ndio content inafaa na inachekesha kabisa?! Hapana jamani hii siyo sawa.
Kwanza ni hatari kwao na hata kwa magari na watumizi wengine wa barabara. Mtu anatoka huko breki zimefeli anakuja kukuvaa utamlaumu nani, tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.