maudhui ya mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Citizen waondoa maudhui ya video za katuni (animations) zilizohusu hali ya usalama nchini, wasema zilipewa tafsiri potofu tofauti na nia yao

    Wapendwa wasomaji, Tumeamua kuondoa animation tulio-share tarehe 1 Oktoba, 2024, kutoka kwenye majukwaa yetu ya mitandao ya kijamii (X na Instagram), kwani ulionyesha matukio yaliyoibua wasiwasi kuhusu usalama wa watu nchini Tanzania. Uamuzi wetu wa kuondoa animation hizo unatokana na tafsiri...
  2. ‘Content Creators’ jitahidini kuzingatia utu na faragha za watu mnaowahusisha kwenye maudhui yenu

    Moja kwa moja kwenye mada. Huenda mimi si hadhira sahihi kwa baadhi ya maudhui fulani ambayo wengine wanayapenda huko mtandaoni. Hata hivyo, maudhui yanaposambazwa waziwazi mtandaoni, mtu yeyote anaweza kuyaona na watengeneza maudhui hawawezi kujua kwa uhakika kama maudhui yao yatafikia tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…