maudhui ya ngono x(twitter)

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Mnaacha kufunga mafisadi na wanadhulumu wananchi mnataka kufuñga X (Twitter) acheni unafiki

    MNAACHA KUFUNGA MAFISADI NA WANAODHULUMU WANANCHI MNATAKA KUFUÑGA k X (Twitter) ACHENI UNAFIKI. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Ni kweli ushoga ni mbaya hilo hata sisi Watibeli tunajua na tunaupinga. Lakini hiyo haimaanishi kuwa ni mbaya zaidi kuliko ufisadi na dhulma. Kihistoria dunia...
  2. Mtandao wa X (Twitter) waruhusu watumiaji kupost maudhui ya ngono

    Jukwaa la mtandao wa kijamii wa X maarufu kama Twitter, limebadili Sera zake za Maudhui na sasa litaruhusu rasmi watu kuonesha au kuchapisha maudhui ya watu wazima yanayohusisha Ngono ilimradi tu yaandikwe kabisa kuwa ni maudhui ya aina hiyo. Hatua hiyo inairasimisha sera ya maudhui ya kikubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…