Miaka ya 1970, kulitokea wimbi la mauaji ya waganga wa kienyeji mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Wengi wa washukiwa waliachiwa huru baada ya kufikishwa mahakamani. Ndipo, Kamati za Ulinzi na Usalama za mikoa hiyo chini ya Uenyekiti wa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu, waliagiza wote walioshukiwa na...