maulid kitenge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM unapata wapi uhalali wa Kukicheka Kiingereza hafifu cha Kocha wa Simba SC wakati Wewe ndiyo hukijui kabisa?

    Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa Kumkejeli Kocha Olivieira hewani kama ufanyavyo sasa. Hakuna asiyejua kuwa Wabrazil Lugha yao Mama ni...
  2. Huyu ndiyo Maulid Kitenge anayeshangaa Simba SC Kubebwa na Ratiba ya Ligi, ila hashangai Yanga SC yake Kutwa Kubebwa na Waamuzi Viwanjani

    Maulid Kitenge labda nikusaidie leo hakuna ambacho kinafanyika kwa Simba SC hakijawahi au hakifanyiki kwa Yanga SC sema tu kwakuwa una Umasikini wa Fikra (Upeo) hili huwezi Kulijua. Haya Maulid Kitenge kwakuwa leo hapo Sports Headquarters ya EFM ukiwa kama Boss Wao (Sports Department) umekuja...
  3. Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

    Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze. NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
  4. Maulid Kitenge wa E-FM amvaa Mwigulu kuhusu Deni la Taifa. Maswali ni mengi kuliko majibu, kulikoni?

    MTANGAZAJI Maarufu nchini Maulid Baraka Kitenge amemtaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kujitokeza hadharani na kujibu hoja zinazohusu Mikopo kwani sasa Deni limefikia Trilioni 91 na walipaji ni sisi wananchi tunataka majibu "tunazungumza na wewe Mwigulu kama taifa haya maswali ni...
  5. Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

    MTANGAZAJI maarufu na Mchambuzi maarufu wa Siasa za Tanzania, Gerald Hando ameweka wazi msimamo wake kutokubaliana na utaratibu wa Serikali inavyokopa poka hovyo na kusisitiza kuwa uamuzi wa Job Ndugai kuzungumzia mikopo haukuwa mbaya na hakupaswa kujiuzulu. "Hakuna kibaya alichokisema Ndugai...
  6. M

    Video: Maulid Kitenge yuko Qatar kikazi ama kula bata?

    Nauliza tu yuko Qatar kikazi ama kuponda raha? Na nani anagharamikia hizi anasa? Isije kuwa tu ni kodi zetu.
  7. Mtangazani Maulid Kitenge wa EFM na wa Redio zingine msiache Kuisifia Unbeaten Record ya Yanga SC iliyoishia rasmi leo

    Yaani kama Simba SC na Argentina zinafungwa tena zikiwa na Nyota wao akina Chama na Messi Wewe Yanga SC ni Nani Usifungwe? Kudadadeki. Wana Yanga SC Wote mlioko hapa JamiiForums jiandae Kunichukia GENTAMYCINE kuanzia sasa (leo) na tukutane hapa hapa baadae Saa 4 Kamili Usiku.
  8. Kwa hili alilofanya Maulid Kitenge naiomba TFF ichukue hatua kali haraka kwa Maulid Kitenge na EFM

    Nauomba Uongozi wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) haraka sana umchukulie hatua kali za kinidhamu mtangazaji wa hovyo wa michezo nchini Maulid Kitenge kwa kitendo chake cha kumpa 'Airtime' Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara tena akimtaja kabisa kuwa Msemaji wa Yanga SC aliye...
  9. M

    Kitenge: Rais Samia, Mawaziri wanautaka urais 2025 waweke kando kabla ya Oktoba 30, 2022

    Mtangazaji maarufu nchini, Maulid Baraka Kitenge amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kama ikimpendeza kuwaondoa haraka kwenye Baraza la Mawaziri mawaziri waliotajwa kwenda nje ya nchi kusaka fedha kutaka kumuondoa 2025. CHANZO: EFM uchambuzi wa Magazeti Oktoba 26,2022
  10. Yanga Kusimamisha Nchi Kesho Saa 5:00 asubuhi

    "Jambo la Nchi kwa Wananchi. Kaa tayari......." 🔍 Young Africans sports club Tunaenda Kusimamisha Nchi
  11. Haya wale wenye Akili fupi na mnaomtetea Haji Manara na Tukio la Dharau alilolifanya Juzi someni haya Maelezo ya Maulid Kitenge wa EFM

    Swali kutoka kwa Mtangazaji Abdulrazaq Majid.... Kitenge je, ni kweli Haji Manara juzi pale alijitokeza tu na mkampa Kipaza Sauti afanye kile alichokifanya au labda ni Tukio ambalo mlilipanga na mlikuwa nae Kimaandalizi? Jibu la Mtangazaji Maulid Kitenge.... Ukweli ni kwamba Siku Moja kabla...
  12. Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya?

    Mtangazaji Maulid Kitenge Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya? Mchambuzi Jemedari Said Ushahidi wa Tuhuma za Haji Manara ziko wazi na hata Yeye Mwenyewe amekiri kupitia Msamaha wake aliouomba na Kuukiri. Mtangazaji Maulid Kitenge...
  13. Mbona Maulid Kitenge hajasema 'Swahiba' wake Oscar Oscar anaachana na EFM na anaenda wapi?

    Imeandikwa na @maulidkitenge - @oscaroscarjr ni moja ya wachambuzi waandamizi ambao wamekuwa nasi kwenye Sports HQ kwa miaka 7. Sisi tunamshukuru kwa uchambuzi wa kina, vituko, maoni na yote aliyofanya kwenye kipindi hicho. Tunamtakia kila lenye kheri kwenye majukumu yake mapya. Chanzo: Dar...
  14. Sijawahi kuwasikia Millard Ayo au Maulid Kitenge wakiongea Kiingereza

    Hawa jamaa naona wana safari sana za kwenda nje, lakini sijawahi kuwasikia walau wakiongea hata sentence moja tu ya lugha ya kiingereza. Mahojiano wanayoyafanya huko nje huwa ni wanawahoji Watanzania wenzetu tu na lugha inayotumika ni kiswahili kama kawaida. Sasa nilitaka kujua huko nje...
  15. Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

    =========================== Mwanzoni mwa mwezi huu wa pili 2022 kuliibuka ghafla na kwa kasi ya ajabu jitihada za makusudi za kujaribu kuwaondoa wamasai katika ardhi zao za kimila huko Ngorongoro kwa madai ya kwamba binadamu wamekuwa wengi huko Ngorongoro na hivyo wanaharibu ekolojia. Vita...
  16. Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

    Kituo cha Wanahabari watetezi wa Rasilimali na taarifa (MECIRA) kimeitaka serikali kuchukua hatua madhubuti za haraka na dharura ili kunusuru maisha ya wananchi jamii ya kimasai wanaoishi katika tarafa ya Ngorongoro iliyopo ndani ya hifadhi ya Ngorongoro sambamba na kunusuru mazingira na...
  17. Safari za Maulid Kitenge Marekani

    Hivi huyu mwamba huwa ana makazi huko? Au anafanya biashara gani huko kwa Joe Biden? Maana kwa mwaka mmoja anaweza kwenda Marekani hata mara nne au tano! Juzi tu hapa kabeba familia nzima kwenda nayo huko akiwemo mama yake mzazi. Jamaa yuko vizuri! NB: Mapovu pelekeni mkafulie
  18. M

    Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM na TvE kasoma Chuo gani cha Uandishi wa Habari Tanzania au nje ya Tanzania?

    Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania. Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake...
  19. Yanga ya gazeti la Mwanaspoti, Kitenge na Priva inatisha sana

    Kiukweli utakuwa mnafiki sana kuwalaumu wasomaji wa gazeti la Mwanaspoti na wasikilizaji wa Efm ambao hadi leo najiuliza wana akili gani za matope kudhani Maulidi ni mtu sahihi wa kuwa anchor wa kipindi chao wakati mwanadada mrembo Tunu Hassan alikuwa anafanya kazi inayoridhisha Anyway labda ni...
  20. K

    Sports Arena WASAFI Redio: Kipindi kimepoteza weledi baada ya kuondoka kwa Maulid Kitenge

    Niimekuwa nikifuatilia kipindi cha michezo cha Wasafi redio baada ya kuondoka kwa Mkuu wa idara ya michezo ya WASAFI Redio Maulid wa Kitenge kutokana na mapenzi niliyokuwa nayo na Redio hiyo hasa kutokana na kuleta hamasa za kufa mtu kwa redio nyingine za zamani lakini ninachoambulia sasa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…