MATAYARISHO YA MAULID KWA ZITTO LEO USIKU
Mida hii kuna matayarisho makubwa uwanjani Kwa Zitto Mtaa wa Kionga na Jaribu, Magomeni Mapipa.
Uwanja uliozoeleka kwa chips na berbeque za kila aina umegeuka kuwa uwanja wa Qur'an, kumsalia Mtume SAW na visomo vya kuwaombea maghufira masheikh zetu...