Wadau, kichwa cha habari chajieleza. Mtangazaji Maulidi Kitenge hajaondoka Wasafi FM Radio bali amefurushwa kwa sababu ya safari zake za mara kwa mara nje ya nchi, hususan nchini Marekani.
Kwa mujibu wa chanzo cha ndani kutoka Wasafi FM, Maulidi Kitenge amekuwa akienda nchini Marekani kwa mwaka...