Ni muda sasa takriban wiki mbili nina maumivu sehemu ya haja kubwa. Siwezi kukaa na ninatembea kwa shida sana.
Vilevile ninapata shida sana wakati wa kutoa haja kubwa hadi naogopa. Natoa vinyesi vidogo vidogo vinauma sana.
Nilieenda hospitali nikakutwa na amiba. Nimemeza dawa na kumaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.