maumivu haja kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Msaada: Napata maumivu makali sehemu ya haja kubwa kiasi cha kushindwa kukaa

    Ni muda sasa takriban wiki mbili nina maumivu sehemu ya haja kubwa. Siwezi kukaa na ninatembea kwa shida sana. Vilevile ninapata shida sana wakati wa kutoa haja kubwa hadi naogopa. Natoa vinyesi vidogo vidogo vinauma sana. Nilieenda hospitali nikakutwa na amiba. Nimemeza dawa na kumaliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…